Sadie T. Benning (alizaliwa Aprili 11, 1973) ni msanii wa nchini Marekani, ambaye amefanya kazi hasa katika masuala ya video, uchoraji, upigaji wa picha na ukurekodiji wa sauti.[1]

Thumb
Benning in 2011

Benning hutengeneza filamu za majaribio na kuchunguza maudhui mbalimbali kama vile, jinsia, utata, ukiukaji sheria, uchezaji, urafiki na utambulisho. Alikuja kuwa msanii anayejulikana akiwa kijana, na filamu zake fupi zilizotengenezwa na kamera ya PixelVision ambayo imeelezewa kama "shajara za video".

Benning alikuwa mwanzilishi na mwanachama wa zamani wa bendi ya electronic rock ya Marekani , kuanzia mwaka 1998 hadi 2001.

Marejeo

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.