From Wikipedia, the free encyclopedia
Thomas Jefferson (2 Aprili 1743 – 4 Julai 1826) alikuwa Rais wa tatu wa Marekani kuanzia mwaka wa 1801 hadi 1809.
Thomas Jefferson | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1801 – Machi 4, 1809 | |
Makamu wa Rais | Aaron Burr (1801–1805) George Clinton (1805–1809) |
mtangulizi | John Adams |
aliyemfuata | James Madison |
tarehe ya kuzaliwa | Shadwell, Colony of Virginia, British America | Aprili 13, 1743
tarehe ya kufa | 4 Julai 1826 (umri 83) Charlottesville, Virginia, Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Monticello, Virginia, Marekani |
chama | Democratic-Republican |
ndoa | Martha Wayles (m. 1772–1782) |
watoto | 11 |
mhitimu wa | College of William & Mary (Bachelor of Arts) |
signature |
Pia alikuwa mwandishi wa katiba ya Marekani aliyetumia nadharia ya John Locke na kupanga hoja za kupinga Marekani kuendelea kuwa chini ya mfumo wa utawala wa kifalme chini ya Uingereza.
Angalia mengine kuhusu Thomas Jefferson kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
Fafanuzi za Kiingereza kutoka Wiktionary | |
picha na media kutoka Commons | |
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity | |
nukuu kutoka Wikiquote | |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource | |
vitabu kutoka Wikibooks |
}}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thomas Jefferson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.