From Wikipedia, the free encyclopedia
Uislamu nchini Malawi ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo.
Uislamu kwa nchi |
Karibia Waislamu wote wa Malawi ni wafuasi wa dhehebu la Sunni.[1]Japokuwa ni vigumu kukadiria,[2] kwa mujibu wa CIA Factbook, mnamo mwaka wa 2008 karibia asimilia 12.8 ya idadi ya wakazi nchini humo ni Waislamu;[3] kiasi kidogo kama hicho kimekataliwa na jumuia za Kiislamu nchini humo,[4] ambao wamelalamikia ya kwamba kiasi halisi ni asilimia 30-35 (ambacho kilielezewa kama "fikra za kujitakia").[5]
Kwa mujibu wa Mradi wa Dini wa Malawi[6] unaoendeshwa na Chuo Kikuu cha Pennsylvania, mnamo 2010 makadirio ya idadi ya Waislamu ilikuwa asilimia 25, imetazamiwa hasa katika maeneo ya Mkoa wa Kusini.[7]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.