From Wikipedia, the free encyclopedia
Veracruz (jina rasmi: Veracruz de Ignacio de la Llave) ni moja kati ya majimbo ya Mexiko upande wa mashariki ya nchi. Upande wa mashariki ni maji ya Ghuba ya Meksiko. Mji mkuu ni Xalapa na mji mkubwa ni Veracruz.
Imepakana na Tamaulipas, Oaxaca, Chiapas, Tabasco, Puebla, Hidalgo na San Luis Potosí. Jimbo lina wakazi wapatao 7,110,214 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 71,699.
Gavana wa jimbo ni Fidel Herrera Beltrán.
Lugha rasmi ni Kihispania.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Veracruz (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.