Hidalgo (jimbo)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Hidalgo (jimbo)
Remove ads

Hidalgo ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kati ya nchi. Imepakana na San Luis Potosí, Veracruz, Puebla, Tlaxcala, Mexico na Querétaro. Mji mkuu na mji mkubwa ni Pachuca.

Thumb
Pachuca de Soto, Hidalgo
Thumb
Bendera ya Hidalgo
Thumb
Mahali pa Hidalgo katika Mexiko

Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 2,345,514. Una eneo la 20,502 km².

Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya kiongozi wa uhuru wa Mexiko Miguel Hidalgo y Costilla.

Gavana wa jimbo ni Miguel Ángel Osorio Chong.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Remove ads

Miji Mikubwa

  1. Pachuca (275,578)
  2. Tulancingo (96,538)
  3. Ixmiquilpan (73,903)


Viungo vya Nje




Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hidalgo (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads