![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b1/Kwale_location_map.png/640px-Kwale_location_map.png&w=640&q=50)
Wilaya ya Kwale
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Kwale ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Wilaya ya Kwale | |
![]() |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Mji mkuu | Kwale |
Eneo | |
- Jumla | 8,270.3 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 649,931 |
Funga
Makao makuu yalikuwa mjini Kwale.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kwale.