![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c1/Taita_Taveta_location_map.png/640px-Taita_Taveta_location_map.png&w=640&q=50)
Wilaya ya Taita-Taveta
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Taita-Taveta ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Wilaya ya Taita-Taveta | |
![]() |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Mji mkuu | Voi |
Eneo | |
- Jumla | 17,083.9 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 284,657 |
Funga
Makao makuu yalikuwa mjini Voi.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Taita-Taveta.