Yuriy Drohobych
From Wikipedia, the free encyclopedia
Yuriy Drohobych or Yuriy Kotermak (alizaliwa 1450, Drohobych - alifariki 4 Februari 1494, Kraków) alikuwa mwanafalsafa wa huko Ruthenian, Mnajimu, mwandishi, daktari, Raisi wa Chuo Kikuu cha Bologna, na profesa wa Kraków Academy, na ni mchapishaji wa kwanza kwenye Kanisa la Slavonic . Yeye ndiye mwandishi wa kitabu cha Iudicium Pronosticon Anni 1483 Currentis ..[1]