1109 KK

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Makala hii inahusu mwaka 1109 KK (kabla ya Kristo).

Matukio

Mfalme Tiglath-Pileser I wa Ashuru (Assyria) aliagiza kuandikwa habari za ushindi wake dhidi ya mataifa ya majirani katika hati iliyowekwa katika hekalu ya mji wa Ashuru kwa mwandiko wa kikabari tarehe 29 ya mwezi wa Kuzallu wakati wa Kuhani Mkuu Ina-iliya-hallik ambayo ilikuwa mwaka 1109 KK [1][2]

Waliozaliwa

Waliofariki

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads