1509

mwaka From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Makala hii inahusu mwaka 1509 BK (Baada ya Kristo).

Matukio

JanuariJuni

  • 2 Februari Mapigano ya Diu: Wareno wanaushinda muungano wa Wahindi, Waislamu na Waitalia.
  • 21 Aprili Henry VIII anakuwa Mfalme wa Uingereza (kwa miaka 38) kwa kutokana na kifo cha baba yake, Henry VII.
  • 27 Aprili Papa Julius II anaiwekea Venice vikwazo vya kidini, yaani, isifuate chochote kuhusu Ukatoliki kwa kukataa kutoa sehemu ya Romagna iwe chini ya utawala wa kipapa.
  • 14 Mei Mapigano ya Agnadello: Kiko cha Ufaransa kinawashinda Wavenice.
  • 11 Juni
  • 19 Juni Chuo cha Brasenose, Chuo Kikuu cha Oxford, kinaanzishwa na mwanasheria, Sir Richard Sutton, wa Prestbury, Cheshire, na Askofu wa Lincoln, William Smyth.
Remove ads

Waliozaliwa

Mwaka 2025 katika kalenda nyingine
Kalenda ya Gregori 2025
MMXXV
Kalenda ya Kiyahudi 5785 – 5786
Ab urbe condita (Roma ya Kale) 2778
Kalenda ya Ethiopia 2017 – 2018
Kalenda ya Kiarmenia 1474
ԹՎ ՌՆՀԴ
Kalenda ya Kiislamu 1447 1448
Kalenda ya Kiajemi 1403 1404
Kalenda za Kihindu
- Vikram Samvat 2080 – 2081
- Shaka Samvat 1947 – 1948
- Kali Yuga 5126 5127
Kalenda ya Kichina 4721 4722
甲辰 – 乙巳
Remove ads

Waliofariki

Ukweli wa haraka
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads