21 Aprili

tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Tarehe 21 Aprili ni siku ya 111 ya mwaka (ya 112 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 254.

Mac - Aprili - Mei
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Matukio

  • 753 KK - Mji wa Roma kuundwa na Romulo (tarehe ya kimapokeo). Romulo anakuwa mfalme wa kwanza wa Roma hadi 715 KK. Ndio mwanzo wa hesabu ya miaka katika kalenda ya Kiroma: "ab Urbe Condita" = AUC (kwa Kilatini: tangu kuundwa kwa mji)

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Anselm wa Canterbury, Apoloni wa Roma, Aristo, Anastasi wa Sinai, Mael Ruba, Konrad wa Parzham, Romano Adame n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 21 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads