Abamun wa Tukh
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Abamun wa Tukh (alifariki Ansena, Misri, karne ya 4) ni Mkristo aliyefia imani yake ya dini kwa kukatwa kichwa.
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads