Abashade
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Abashade (pia: Psote, Bisada, Besada, Abashadi, Abassadius, Beshada; alifariki 300) ni kati ya maaskofu wa Misri wa karne ya 3 waliofia dini ya Ukristo. Alikuwa askofu wa Ebsay lakini alikatwa kichwa huko Antinoe.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yake, ila tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Desemba, lakini pia 21 Desemba[1].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads