Abbas Ali Mwinyi
mwanasiasa wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Abbas Ali Hassan Mwinyi ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Fuoni kwa miaka 2015 – 2020[1]. Ni msomi, rubani wa ndege na nahodha wa meli.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads