Abudemi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Abudemi (karne ya 3 - kisiwa cha Tenedos, leo nchini Uturuki, 305) alikuwa Mkristo aliyeuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma, ama chini ya kaisari Dioklesyano ama chini ya Juliani Mwasi, kwa sababu alikataa kula nyama iliyotolewa sadaka kwa miungu[1] [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 15 Julai[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads