Achilas wa Skete
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Achilas wa Skete (alifariki karne ya 4) ni kati ya Wakristo wa Misri walioishi vizuri imani yao jangwani.
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale wanaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Januari[1].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads