Adelaide Brando
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Adelaide Brando (jina la kitawa kwa Kiitalia: Maria Cristina dell'Immacolata Concezione; Napoli, 1 Mei 1856 – Casoria, 20 Januari 1906) alikuwa bikira wa Italia aliyeanzisha shirika la Masista Wahanga wa Malipizi wa Yesu Ekaristi kwa ajili ya kuhamasisha ibada kwa sakramenti kuu hiyo.
Bikira huyo alijitolea maisha yake pamoja na shirika lake hilo kwa malezi ya Kikristo ya watoto [1].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 2 Julai 2003, halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 17 Mei 2015.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads