Adolphe Adam

From Wikipedia, the free encyclopedia

Adolphe Adam
Remove ads

Adolphe Adam (24 Julai 1803 3 Mei 1856) alikuwa mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Ufaransa. Adam alikuwa mtoto wa mtunzi na mpiga kinanda maarufu huko ufaransa, lakini baba yake hakupenda mtoto wake afuate kazi yake ya muziki. [1]

Thumb

Adolphe alichaguliwa kama profesa katika Chuo cha Muziki cha Paris, Ufaransa. Na kupewa sifa na mwalimu wake wa zamani Daniel Auber na mwalimu wake Adrien Boieldieu kwa jitihada zake katika sanaa ya opera chuoni. [2]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads