Agabi wa Novara
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Agabi wa Novara (alifariki 10 Septemba 440) anakumbukwa kama askofu wa pili wa Novara (Italia Kaskazini).
Mwanafunzi wa Gaudensi wa Novara, alichaguliwa naye kuwa askofu baada yake, akapewa daraja takatifu hiyo mwaka 417[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads