Aibati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Aibati, O.S.B. (pia: Aibert, Aybert; Espain[1], leo nchini Ubelgiji, 1060 hivi - karibu na Crespin, Hainault, leo nchini Ufaransa, 7 Aprili 1140) alikuwa mkaapweke, halafu mmonaki na padri[2] wa shirika la Mt. Benedikto[3].
Kila siku alikuwa akisali Zaburi zote akiwa amepiga magoti au kujilaza kifudifudi. Pamoja na hayo, alikuwa anawapatia huruma ya Mungu umati wa watu waliomtembelea[4].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads