Ailbe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ailbe (pia: Albeus, Alibeus, Elvis, Eilfyw, Eilfw[1]; alifariki 528 hivi) alikuwa askofu katika nchi ya Ireland[2][3] ambaye, akisafiri huku na huku alihubiri Injili na kuvuta wakazi wengi wa kisiwa hicho kwenye Ukristo kwa wema wake [4].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[5].
Sikukuu yake ni tarehe 12 Septemba[6].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads