Aiyola

From Wikipedia, the free encyclopedia

Aiyola
Remove ads

'Aiyola ni jina la wimbo uliotoka tarehe 6 Novemba, 2015 uliotungwa na kuimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Harmonize. Huu ni wimbo wa kwanza wa Harmonize tangu ajiunge na WCB. Wimbo umetayarishwa na Max. Wimbo anamwimbia mpenzi wake anayemtenda kimahaba. Amesahau maisha waliopitia huku mume akijinyima kwa kumfurahisha mpenzi. Video ya muziki huu iliongozwa na Nick Roux aliyeongoza video nyingi za Wasafi Classic Baby.

Ukweli wa haraka Single ya Harmonize, Imetolewa ...
Remove ads

Tazama pia

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads