Bado

From Wikipedia, the free encyclopedia

Bado
Remove ads

'Bado ni jina la wimbo uliotoka tarehe 29 Februari, 2016 uliotungwa na kuimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Harmonize akiwa na Diamond Platnumz. Huu ni wimbo wa kwanza wa Harmonize kuimba na Diamond na wa pili kutoa tangu ajiunge na WCB. Wimbo umetayarishwa na Laizer Classic. Video ya muziki huu iliongozwa na Nick Roux aliyeongoza video nyingi za Wasafi.

Ukweli wa haraka Imetolewa, Muundo ...
Remove ads

Tazama pia

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads