Akihito wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Akihito wa Japani
Remove ads

Akihito (amezaliwa 23 Desemba 1933) alikuwa mfalme mkuu (Tenno) wa Japani. Alimfuata baba yake, Hirohito, tarehe 7 Januari 1989.

Thumb
Tenno Akihito (2014)

Bunge la Japani lilibadilisha sheria ili kumruhusu kujiuzulu mwaka 2019 kwa ajili ya uzee na afya yake.

Hatimaye alijiuzulu tarehe 30 Aprili 2019 akiwa mfalme wa kwanza baada ya miaka 200 aliyechukua hatua hiyo[1]. Alifuatwa na mwanawe Naruhito.

Angalia pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads