Albert Lutuli
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Albert Lutuli[1] (takriban 1898 – 21 Julai, 1967) alikuwa mwalimu na mwanasiasa kutoka nchi ya Afrika Kusini.



Alikuwa kiongozi wa ANC kuanzia mwaka 1952 hadi kifo chake mwaka 1967.
Mwaka wa 1960 alishinda Tuzo ya Nobel ya Amani kwa ajili ya kutokutumia nguvu katika kupinga apartheid.
Huangaliwa kama mtakatifu katika Kanisa Anglikana la Marekani.
Sikukuu yake ni tarehe 21 Julai, siku ya kifo chake.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads