Aleksanda wa Roma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Aleksanda wa Roma alikuwa Mkristo aliyeuawa karibu na Roma kwa imani yake[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake ni tarehe 21 Septemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads