Alifa Rifaat

alikuwa mwandishi wa Kimisri ambaye hadithi fupi zenye utata zinajulikana kwa maonyesho yake ya mienendo ya ujinsia wa kike, uhusiano na hasara katika utamaduni wa vijijini wa Misri From Wikipedia, the free encyclopedia

Alifa Rifaat
Remove ads

Fatimah Rifaat (alizaliwa Juni 5 1930 ,alifariki Januari 1996), alijulikana Kama Alifa Rifaat (Kiarabu: أليفة رفعت), alikua mwandishi wa nchini Misri ambaye hadithi zake fupi zenye utata zilijulikana wakati wa maonyesho ya mienendo ya mahusiano ,jinsia ya kike na katika utamaduni wa Misri.[1] Wakati wakichukua mada kama hizi zenye utata, wahusika wakuu wa Fatimah Rifaat walibaki waaminifu kidini na hisia za kupita kiasi kuelekea hatima yao. Hadithi zake hazikujaribu kudhoofisha mfumo dume; bali zilitumiwa kuonyesha matatizo yaliyomo katika jamii ya wahenga wakati wanaume hawazingatii mafundisho yao ya kidini ambayo yanawapasa kuwatendea wemawanawake. Fatimah Rifaat alitumia jina bandia la Alifa ili kuzuia aibu kwa upande wa familia yake kutokana na mandharia ya hadithi zake na kazi yake ya uandishi.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads