Januari

mwezi wa kwanza katika mwaka From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mwezi wa Januari ni mwezi wa kwanza katika Kalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na jina la mungu Ianus wa Warumi. Kwa Kilatini, ianua maana yake ni "mlango".

Des - Januari - Feb
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Januari ina siku 31, na inaanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Oktoba; ila katika mwaka mrefu (wenye siku 366), siku yake ya kwanza ni sawa na mwezi wa Aprili na wa Julai.

Ukweli wa haraka
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads