Allegretto Nuzi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Allegretto Nuzi
Remove ads

Allegretto Nuzi au Allegretto di Nuzio (13151373) alikuwa mchoraji wa Italia, aliyefanya kazi hasa Fabriano na kandokando yake, lakini pia Firenze[1].

Thumb
Sehemu ya Mitume Watano kadiri ya Allegretto Nuzi, 1360, Musée des Beaux-Arts de Strasbourg.

Michoro yake ni hasa ya kidini kwa ajili ya makanisa.[2]

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads