Fabriano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fabriano ni mji mdogo wa mkoa wa Marche nchini Italia kwenye milima ya Apenini.

Una wakazi 28,745 (30 Aprili 2024) kwenye mita 325 juu ya usawa wa bahari; eneo lote ni la kilometa mraba 272,08.
Unajulikana duniani kwa sababu ya utengenezaji wa karatasi bora kuanzia karne ya 13.
Remove ads
Watu maarufu
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Fabriano kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads