Amansi wa Como

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Amansi wa Como (Canzo, Lombardia - Como, Lombardia, 8 Aprili 448 BK) anakumbukwa kama askofu wa 3 wa Como (Italia Kaskazini) alieneza sana Ukristo na kujenga basilika la Mitume[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Aprili[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads