Amaru Entertainment
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Amaru Entertainment ilianzishwa na mama'ke Tupac Shakur, Afeni Shakur, mwanzoni mwa mwaka wa 1997 ili kudhiti haki za kazi za Tupac Shakur ambazo hazitolewa na zile alizotengeneza kabla ya kifo chake mnamo tar. 13 Septemba, 1996. Baada ya kifo cha Tupac Shakur, studio imerithi haki zote za 2Pacalypse Now, Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z, Thug Life Vol. 1, na Me Against the World. Amaru Entertainment pia imetoa albamu nane baada ya kufa kwa Tupac Shakur na filamu moja ya maisha ya Tupac, Tupac: Resurrection.
Remove ads
Tazama pia
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads