Amil Shivji

From Wikipedia, the free encyclopedia

Amil Shivji
Remove ads

Amil Shivji (alizaliwa Dar es Salaam, 1990) ni mtunzi, mwandishi na mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania. Filamu zake kwa ujumla hushughulikia uwasilishaji potofu wa Afrika na historia yake, pamoja na mada ya Ukoloni Mamboleo.[1]

Thumb
Amil Shivji

Wasifu

Asili ya Shivji inaweza kufuatiliwa hadi Zanzibar. Mara nyingi amekua akitembelea wakati akiwa mtoto, mara nyingi alipata motisha kutoka kisiwani. Kabla ya kuanzisha kazi yake ya filamu, Shivji alifanya kazi kama mwandishi wa habari na mtangazaji wa redio.[2][3]Yeye ndiye mwanzilishi wa Kijiweni Productions, kampuni ya uzalishaji filamu.[4][5]

Filamu

  • Who Killed Me (2012)
  • Shoeshine (2013)
  • Samaki Mchangani (2014)
  • T-Junction (2017)
  • Wahenga (2018)
  • Mozizi (2021)
  • Tug of War / Vuta N’kuvute (2021)

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads