Ana

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ana
Remove ads

Ana (kutoka Kiebrania Hannah חַנָּה, yaani "fadhili") anaheshimiwa kama mama wa Bikira Maria na bibi wa Yesu kadiri ya mapokeo ya Ukristo na Uislamu, ingawa hatajwi katika Biblia wala katika Kurani, isipokuwa katika kitabu cha karne ya 2 kinachoitwa Injili ya Yakobo[1].

Thumb
Picha takatifu ya Kigiriki ya Mt. Ana na Maria iliyochorwa na Angelos Akotantos.

Humo anatajwa pia mume wake Yohakimu.

Wote wawili wanaheshimiwa kama watakatifu katika madhehebu mengi ya Ukristo, hasa tarehe 26 Julai[2][3].

Remove ads

Picha

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo ya Kiswahili

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads