Ana An Xinzhi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ana An Xinzhi (1828 hivi - Liugongying, 11 Julai 1900) alikuwa bikira wa China aliyefia Ukristo pamoja na wenzake 3 kwa kukatwa kichwa wakati wa Uasi wa Mabondia[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 11 Julai[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads