Andrew Chenge
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Andrew John Chenge (amezaliwa 24 Desemba 1948) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bariadi kwa miaka 2015 – 2020. [1][2]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads