Andrea wa Krete
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Andrea wa Krete (kwa Kigiriki Ἀνδρέας Κρήτης; lakini pia Andrea wa Yerusalemu; Damasko, Siria, 650 hivi – Mutilene, 4 Julai 712 au 726 au 740), alikuwa askofu, mwanateolojia na mhubiri maarufu[1] tena mtunzi wa sala, nyimbo na tenzi fasaha sana ili kumsifu Mungu na Bikira Maria kama Mama wa Mungu asiye na doa na mpalizwa mbinguni [2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads