Ansovini

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ansovini
Remove ads

Ansovini wa Camerino (karne ya 9 - 13 Machi 868) anakumbukwa kama askofu wa Camerino (Italia ya Kati) kuanzia mwaka 850 hadi kifo chake [1].

Thumb
Mt. Ansovini alivyochorwa pamoja na Mt. Jeromu.

Alipenda kuleta amani na kusaidia maskini[2].

Kipindi fulani baada ya upadrisho alikuwa ameishi kama mkaapweke.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads