Antoliani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Antoliani (pia: Antolianus, Antolien; alifariki Clermont Ferrand, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 265) alikuwa Mkristo ambaye aliuawa kwa ajili ya imani yake[1].
Gregori wa Tours alimtaja mara kadhaa.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Februari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads