Apenini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Apenini (kwa Kiitalia: Appennini) ni safu ya milima inayounda uti wa mgongo wa rasi ya Italia kwa urefu wa km 1,200 na upana hadi km 250.


Kwa kiasi kikubwa ni ya kijani, isipokuwa kwenye barafuto ya kilele kirefu zaidi, Corno Grande (mita 2,912 juu ya usawa wa bahari).[1].
Vilele vingine 20, hasa vya Apenini ya Kati, vina kimo cha walau mita 1,900.
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads