Arbogasti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Arbogasti (alifariki 678 hivi) alikuwa mmisionari katika Alsace ya leo na askofu wa Strasbourg (leo nchini Ufaransa)[1].

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
