Nadharia ya namba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Nadharia ya namba (kwa Kiingereza Theory of numbers; awali: arithmetic[1][2]) ni tawi la hisabati linalochunguza hasa nambakamili.

Mwanahisabati Mjerumani Carl Friedrich Gauss (1777–1855) alisema, "Hisabati ndiyo malkia wa sayansi zote, na nadharia ya namba ndiyo malkia wa hisabati zote."
Tanbihi
Vyanzo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads