Arkanjelo Tadini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Arkanjelo Tadini (kwa Kiitalia: Arcangelo; Verolanuova, Brescia, 12 Oktoba 1846 - Botticino Sera, 20 Mei 1912) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Italia.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza kuwa mwenye heri tarehe 3 Oktoba 1999, na Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 26 Aprili 2009.
Maisha
Baada ya upadrisho alioupata mwaka 1870 alishughulikia matatizo na haki vya wafanyakazi, na hatimaye alianzisha shirika la Masista Wafanyakazi wa Nyumba Takatifu ya Nazareti ambao wawajibike kwa ajili ya haki katika jamii[2].
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads