Artelaide
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Artelaide (pia: Arthelais; Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 544 - Benevento, Italia, 560) alikuwa bikira ambaye anasemekana alihama nchi yake ili asiolewe na kaisari Justiniani I[1][2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads