Artema
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Artema (aliishi na kufariki Pozzuoli, Napoli, Italia, 25 Januari, mwishoni mwa karne ya 3 au mwanzoni mwa karne ya 4) alikuwa kijana Mkristo aliyeeneza imani yake kwa wanafunzi wenzake. Alipokataa kuacha juhudi hizo, alihukumiwa auawe na wenzake hao kwa kutumia kalamu zao[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Januari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads