Arthur Schawlow
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Arthur Leonard Schawlow (5 Mei 1921 – 28 Aprili 1999) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani.
'

Kama mtoto na kijana aliishi na kusoma nchini Kanada kabla hajarudi Marekani. Hasa alichunguza mnururisho na kubuni leza alipofanya kazi pamoja na Charles Townes. Mwaka wa 1981, pamoja na Nicolaas Bloembergen na Kai Siegbahn alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.[1][2]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads