Article One

From Wikipedia, the free encyclopedia

Article One
Remove ads

Article One ni bendi ya Kikristo kutoka Kanada hasa London, Ontario. Bendi lenyewe linahusu:

  1. Nathan Piche(mwimbaji,mchezaji gitaa)
  2. Matt Piche(mwimbaji)
  3. Dave DeSmit(mchezaji ngoma)
  4. Nolan Verner(mchezaji gitaa)
Ukweli wa haraka Echoing Angels, Maelezo ya awali ...
Remove ads

Historia

Nathan na Matt Piche walikuwa wamelelewa katika familia ya wanamuziki. Wazazi wao walikuwa walimu wa muziki na dada yao alikuwa gwiji wa kucheza gitaa.[1] Baba yao alikuwa mwanamuziki wa Kikristo ambaye alizuru nchi nzima kama msanii pekee yake,yaani bila bendi. Matt alianza kucheza ala ya muziki akiwa umri wa miaka mitano na Nathan akaanza mwaka mmoja baadaye. Masomo ya muziki kwa Dave DeSmit's yalianza katika shule ya msingi.[1] Matt started playing violin when he was five years old and Nathan started playing piano a year later.[1]

Jina

Hapo awali walijiita Appertain Display[2]. Baadaye,bendi lilichukua jina lake la sasa kutoka makala ya kwanza ya Azimio la Haki za Binadamu yaliyoonyeshwa na bendi la U2 katika ziara yao ya Vertigo. [3]Makala hayo yanasema "Wanadamu wote wamezaliwa huru na sawa katika heshima na haki.Wamejaliwa na akili dhamiri na nafsi,na wanastahili kutendeana vitendo kwa roho ya undugu."

Remove ads

Diskografia

Albamu

Hapo tarehe 8 Mei 2007,walitoa albamu yao ya studio kwa kupitia studio ya Inpop Records Albamu yao ya pili ilitolewa tarehe 27 Mei 2008. Toleo spesheli la albamu yao ya pili lilitolewa Ujapani lilikuwa na wimbo unaoitwa In no time at all kutoka albmau yao ya kwanza ukiwa wimbo wa kuongezwa katika albamu hiyo.[2]

Maelezo zaidi Mwaka, Jina la albamu ...

Nyimbo Zao

Wimbo waoWithout You I'm Not Alright ulifika # 8 katika chati ya nyimbo za kisasa za Kikristo nchini Marekani (Juni 2008). Taken By The Storm uliingia katika nyimbo bora kumi katika chati ya chati ya nyimbo za kisasa za Kikristo nchini Marekani.[4] "Taken By The Storm" climbed into the Top 10 on the U.S. Contemporary Christian Music chart.[5]

Maelezo zaidi Mwaka, Jina la Wimbo ...

Nyimbo katika albamu za kompilesheni

  • Launch: Inferno, "Slow Down" (CMC, 2007)
  • YourMusicZone.com #1s, "Say It Again" (CMC, 2007)
  • Canada Rocks, "Without You (I'm Not Alright)" (CMC, 2008)
  • Sea to Sea: Christmas, "One Gift" (Lakeside, 2009)
Remove ads

Tuzo

GMA Canada Covenant Awards
  • 2006 washindani katika tuzo ya Wanamuziki wapya wa mwaka.
  • 2008 Albamu ya Nyimbo za Kisasa za Kikristo kwa albamu yao ya: Colors and Sounds
  • 2008 washindani, Wimbo wa Kisasa wa mwaka: Without You (I’m Not Alright)
Tuzo za Juno
  • Washindani wa tuzo ya Juno 2009, Albamu ya nyimbo za kisasa za Kikristo: Colors and Sounds

Ziara

Reign In Us (Marekani na Kanada) pamoja na Starfield 2009
Rock What You Got (Marekani) wakiwa pamoja na Superchick na Stellar Kart - 2008
Newsboys GO Marekani) - 2008
Shoutfest (Marekani) - 2007

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads