INO Records
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
INO Records
Historia
INO Records ni studio ya Marekani yenye makao yao nje ya Nashville, Tennessee. Studio hii inahusika sana na nyimbo za kisasa za Kikristo. Nyimbo zilizorekodiwa huko husambazwa kote duniani kwa kupitia Sony Records (wakati mwingine huwa imetajwa kama moja ya mashirika yake madogomadogo, Epic Records au Columbia Records). Inamilikiwa na Integrity Media tangu mwaka wa 2002. Pia hii ndiyo studio iliyoanzisha SRE Recordings, ambayo hujihusisha zaidi na nyimbo za Kikristo.
Remove ads
Wasanii wao wa hivi sasa
|
|
|
Wasanii wa kitambo
- 4Him (Waliachana)
- Petra (Waliachana)
- The Rock N Roll Worship Circus (Waliachana)
- SONICFLOOd (Wanaimba, hawana mkataba na studio yoyote)
- Ten Shekel Shirt (Anaimba, with Rounder Records)
- CeCe Winans (Anaimba, with PureSprings Gospel)
- Kara Williamson (Anaimba, )
- Nicholas Jonas (Daylight/Columbia/INO)
Angalia pia
- Orodha ya studio
Viungo vya nje
- Tovuti Rasmi Ilihifadhiwa 5 Novemba 2009 kwenye Wayback Machine.
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads