Aryanah

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Aryanah ni mji mkuu wa wilaya ya Ariana huko Tunisia.

Mwaka 2014 ulikuwa na idadi ya wakazi takribani 114,486. Hivyo ni mji wa nane kwa ukubwa nchini Tunisia, na upo karibu na mji mkuu Tunisi.

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads