Ascension
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ascension ni kisiwa chenye asili ya volikano kilichoko kusini kidogo kwa ikweta, katika Bahari ya Atlantiki, kilomita 1,600 hivi kutoka Afrika na 2,300 hivi kutoka Amerika Kusini (Brazil).
Wakazi wote ni 806 tu (sensa ya mwaka 2016).
Kiutawala kiko chini ya koloni la Saint Helena[1], ambalo liko chini ya Ufalme wa Muungano.
Jina lilitokana na sherehe ya Kupaa Bwana, ambayo ndiyo siku ya mwaka 1501 kisiwa kilipoonekana kwa mara ya kwanza.
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads